Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,798
- 18,037
NINAFIKIRI KIJINGA!?
1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria?
2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza Tume ya Uchaguzi kumuengua Luhaga Mpina wa ACT asigombee Urais licha ya kuruhusiwa na Mahakama?
3.Ghafla kwa kutumia pesa hizo akashawishi wapiga kura zaidi ya Asilimia 80 wajitokeza Kupiga Kura? Na kwa miujiza akaiwezesha tume kujumlisha kura 31,000,000 kwa kasi ya kimondo.
4.Akamuamuru IGP na IGP akatii agaizo la Kijana asiye mzalendo ? atangaze Curfew ndani ya dk 40 kabla ya kuanza utekelezaji?Bila kujali watoto wa mitaani na watu wasio na Makazi watahifadhiwa wapi na kwa namna gani? Wala wananchi watarudije makwao?
5.Kijana huyu asiye mzalendo akaamuru Polisi watumie silaha za Moto na kupiga waandamanaji risasi za vichwa,Tumbo,Viuno na Kifua? na kuwezesh maiti kujificha zenyewe ili zisizikwe?
6.Akaamuru Maiti zifichwe ili wafiwa washindwe na mwishoni kuzika viatu na nguo za marehemu wasione miili ya ndugu zao?
7.Akaamuru iundwe tume ya Uchunguzi isiyo Huru na kuagiza iitwe Tume Huru?
8.Mpaka leo serikali imeshindwa kukamata Askari walio uwa watu wakaishia kukamata ndugu wa walio uwawa na vijana wasio na hatia maake siku hizi ukikohoa au kukosoa sacarstically watukufu ni uhaini na hii ni kwa muji u wa kijana huyu asiye mzalendo?
9.Akaamuru Mtandao ufungwe kwa siku kadhaa ?!ili aweze kututandika risasi kimyakimya kutimilisha ubazazi wake? Sasa hii si ndiyo sababu nzuri ya kuunda Tume ya Uchunguzi iliyo huru na Jumuishi ya Kimataifa.. ili tuwachemshe supu hawa mabeberu?
10 Na kwa nguvu hiyo hiyo hataki Tume Huru ya Kimataifa au iliyo Jumuishi ya kutafuta ukweli wa jambo hili?
TAIFA LINAHITAJI HAKI,UKWELI NA UWAJIBIKJA
Unahitaji kuwa professional wa upumbavu kuikubali nadharia hii tepetevu.
BAK MWABUKUSI.