MNYWABUJU
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 260
- 327
wew lugha za kupamba unazijua kweli ,hili ni kama angalizo tu tulipo ,na tunapoelekea,kutokana na matukio ya utekaj nchnHizi lugha za kupamba ndio zinachangia huu ukatili kuendelea.

Si kama, bali husoma mambo muhimu yanayomhusu yanayopita humu. Tatizo lake Ni kuyatafsiri atakavyo yeye!!!Binafsi naona mheshimiwa meya wa ubungo ametoa ushauri mzuri sana!!
Na kama mzee ni mwanajamvi mwenzetu si vibaya akaufanyia kazi!
Ndio Siku ya kwanza nasikia upinzani uki mtaja Rais kwa heshima bila background ya kejeli,na laiti mngekua mnajua Rais anatakiwa kutritiwa tofaut na viongozi wengine..kama Hadithi isimuliavyo basi nadhani nchi yetu ingekua salama lakini nyie mmekua mkimkejeli Rais na kumtamkia maneno mabaya mabaya yasio hata vumilika,ndio mana hata yeye anashindwa tamka maneno mazuri na Walinzi wake wanazunguka nae muda wote wanamsikia hata akilalamika kuhusu vyombo vya ulinzi vinaposhindwa fanya majukumu yao,ndio mana kama hadithi isimuliavyo Hutokea mambo kama hayo.
Tukumbuke huyu ni Rais hata kama mnamkosoa tumieni lugha laini maana kwa kufanya hivyo mtaokoa wengi lakini kwa kuendelea kuropoka na kumuudhi Rais bado walinzi na vyombo vya usalama havitakubali kuskia Rais akisononeka,yatafanywa ya kwenye hadithi,jambo ambalo si zuri ktk nchi yetu.
Nina uhakika upinzani wa nchi hiii ndio source ya wasiojulikana, Mmejigawa na Rais as if mna Rais wenu mnamkumbuka Rais kwenye matatizo tu ila yakipita mnamuanzia tena jambo ambalo nafikiri Mjitafakari na ifike mahali mpambane wenyewe na mawaziri na wabunge Rais ni wa wote,kumu attack RAIS ndio mnasababisha Rais asononeke na walinzi wakimuona Mshua anasikitika lazima waFanye Yao maana vyombo vyenyewe vya usalama ndio hivyo majukumu vinafanya mpk viambiwe.
Boniphace leo umeongea vizuri,hata Rais akisoma ataona YES hapa nisaidie hiii kitu,ila siku zingine zoteee mnaongea Kejeli,mnaongea Dharau yani mnachanganya kila kitu kwenye sentensi MOJA,siku mtakayogundua UMUHIMU WA rais NCHI ITAKUA salama...wakati mwingine Rais anaona yanayotokea ila anamua kuwaaacha maana kazi yenu kulalamika uCHUNGUZI WA KIMATAIFA sijui upelelezi utoke wapi,Rais anawaangalia TU
Mnajifanya mnajua sana basi anawaacha awaone hao wachunguzi wataletwa na nani na watapitia wapi,wakati ilikua ni simple TU kuwa wapole na kumuomba RAIS ATUSAIDIE HILI JANGA LA WASIOJULIKANA ni akina nani,tatizo tunamdharau rais na kumuona hana solution mplk watu wa nnje waje ndio walete solution,wataingia nchi ipi??
Upinzani amueni leo kumtoa Rais ktk matusi yenu mpeni heshima yake alafu tuone Kama akisema leo KESHO NATAKA WALIOMPIGA RISASI LISSU NIWAONE TUONE KAMA HAWATOPATIKANA,nENO LA RAIS NI TIBA kama umelitambua hilo basi TUMUHESHIMUNI.
Hii story yako ya mzee na mfalme haina mfanano wowote...na hawa vijana waropokaji hovyoo..
Naona hawajifunzi kwa wenzao kama lema, sugu etc...
Ukileta siasa zakichochezii nikushughulikiwa tuu..sababu ni hadui mchafu kwenye umma
Huna jema, mbwa weweHizi lugha za kupamba ndio zinachangia huu ukatili kuendelea.
Meyawew lugha za kupamba unazijua kweli ,hili ni kama angalizo tu tulipo ,na tunapoelekea,kutokana na matukio ya utekaj nchn
Kwahiyo akitukana ndio ukatili utaisha!?
Huna jema, mbwa wewe
Rais anaheshimika. Tatizo lako wewe na wengine wenye Mawazo Kama wewe ni pale mnapotaka awe Mfalme na si Rais. Kumbuka kisa kinamzungumzia mfalme na sisi tumekubaliana katika katiba yetu kuwa na "Rais"Ndio Siku ya kwanza nasikia upinzani uki mtaja Rais kwa heshima bila background ya kejeli,na laiti mngekua mnajua Rais anatakiwa kutritiwa tofaut na viongozi wengine..kama Hadithi isimuliavyo basi nadhani nchi yetu ingekua salama lakini nyie mmekua mkimkejeli Rais na kumtamkia maneno mabaya mabaya yasio hata vumilika,ndio mana hata yeye anashindwa tamka maneno mazuri na Walinzi wake wanazunguka nae muda wote wanamsikia hata akilalamika kuhusu vyombo vya ulinzi vinaposhindwa fanya majukumu yao,ndio mana kama hadithi isimuliavyo Hutokea mambo kama hayo.
Tukumbuke huyu ni Rais hata kama mnamkosoa tumieni lugha laini maana kwa kufanya hivyo mtaokoa wengi lakini kwa kuendelea kuropoka na kumuudhi Rais bado walinzi na vyombo vya usalama havitakubali kuskia Rais akisononeka,yatafanywa ya kwenye hadithi,jambo ambalo si zuri ktk nchi yetu.
Nina uhakika upinzani wa nchi hiii ndio source ya wasiojulikana, Mmejigawa na Rais as if mna Rais wenu mnamkumbuka Rais kwenye matatizo tu ila yakipita mnamuanzia tena jambo ambalo nafikiri Mjitafakari na ifike mahali mpambane wenyewe na mawaziri na wabunge Rais ni wa wote,kumu attack RAIS ndio mnasababisha Rais asononeke na walinzi wakimuona Mshua anasikitika lazima waFanye Yao maana vyombo vyenyewe vya usalama ndio hivyo majukumu vinafanya mpk viambiwe.
Boniphace leo umeongea vizuri,hata Rais akisoma ataona YES hapa nisaidie hiii kitu,ila siku zingine zoteee mnaongea Kejeli,mnaongea Dharau yani mnachanganya kila kitu kwenye sentensi MOJA,siku mtakayogundua UMUHIMU WA rais NCHI ITAKUA salama...wakati mwingine Rais anaona yanayotokea ila anamua kuwaaacha maana kazi yenu kulalamika uCHUNGUZI WA KIMATAIFA sijui upelelezi utoke wapi,Rais anawaangalia TU
Mnajifanya mnajua sana basi anawaacha awaone hao wachunguzi wataletwa na nani na watapitia wapi,wakati ilikua ni simple TU kuwa wapole na kumuomba RAIS ATUSAIDIE HILI JANGA LA WASIOJULIKANA ni akina nani,tatizo tunamdharau rais na kumuona hana solution mplk watu wa nnje waje ndio walete solution,wataingia nchi ipi??
Upinzani amueni leo kumtoa Rais ktk matusi yenu mpeni heshima yake alafu tuone Kama akisema leo KESHO NATAKA WALIOMPIGA RISASI LISSU NIWAONE TUONE KAMA HAWATOPATIKANA,nENO LA RAIS NI TIBA kama umelitambua hilo basi TUMUHESHIMUNI.
Kuna lipi la ajabu hapo, mbona hushangai mtu kuitwa "kangi" kwenye hiyo hiyo jamii ya kistaarabu...!Kwanza kwa nini Anaitwa mdude katika Jamii ya kistaarabu?
nimeisoma.mara mbili sijaona kama anapamba au anafanya ukatili wa kutekanuendelee embu saidis kdg hapoHizi lugha za kupamba ndio zinachangia huu ukatili kuendelea.
Ungekuwa umefika ng'ambo usingethubutu kuiita Tanzania kuwa ni jamii iliyostaarabika.Kwanza kwa nini Anaitwa mdude katika Jamii ya kistaarabu?
Jikusanyeni mujitoe faham, alafu ndio mtajua kwa nini kuku hakojoi.Hizi lugha za kupamba ndio zinachangia huu ukatili kuendelea.
qui·et·nessQuiteness means acquiecence. It implies consent. It implies approval. It implies ratification. It implies greenlight. Quiteness from above implies go ahead.
HUWA NAWASIKITIKIA SANA VIJANA WANAOTUKANA MITANDAONI KUMTUKANA MKUU WA NCHI.Ndio Siku ya kwanza nasikia upinzani uki mtaja Rais kwa heshima bila background ya kejeli,na laiti mngekua mnajua Rais anatakiwa kutritiwa tofaut na viongozi wengine..kama Hadithi isimuliavyo basi nadhani nchi yetu ingekua salama lakini nyie mmekua mkimkejeli Rais na kumtamkia maneno mabaya mabaya yasio hata vumilika,ndio mana hata yeye anashindwa tamka maneno mazuri na Walinzi wake wanazunguka nae muda wote wanamsikia hata akilalamika kuhusu vyombo vya ulinzi vinaposhindwa fanya majukumu yao,ndio mana kama hadithi isimuliavyo Hutokea mambo kama hayo.