PreGE2025 Boni Yai: Mbowe yuko likizo. Ukimya wake haumaanishi kwamba amenuna au anafanya sabotage. Mimi naongea nae, hana akili hizo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,692
Wakuu,

Akizungumza leo na waandishi wa habari, Boni Yai amekanusha madai kwamba Freeman Mbowe yuko nyuma ya kundi la G55, akisisitiza kuwa tuhuma hizo si za kweli.

Amesema kuwa kwa sasa Mbowe yuko likizo na anaendelea na shughuli zake binafsi kama kawaida.

nitakuwa wa mwisho kuja kumwamin huyu jamaa kwamba yupo pamoja na wenzake, mbowe kamwacha hapo awe tiss wake. wawe naye makini sana. amebaki hapo kikazi na katu hatakuja kuondoka.
Nakuelewa sana mkuu.
 
Watu wasimsemehe Mbowe,Mbowe mwenyewe ajitokeze
 
Boniyai chukua maua yako 👉💐💐💐💐👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐
 
Mbowe alikuwa mlinzi wa Gavana

Bonny alikuwa mlinzi wa Mbowe baada ya kugraduate Udsm

Boni Yai ndiye mrithi wa Tundu Lisu 2035

Ahsanteni sana 😁
 
nitakuwa wa mwisho kuja kumwamin huyu jamaa kwamba yupo pamoja na wenzake, mbowe kamwacha hapo awe tiss wake. wawe naye makini sana. amebaki hapo kikazi na katu hatakuja kuondoka.
Muache ushamba, mjipe homework kujua mifumo inavyofanya kazi. Unaposema Mbowe amemuacha hapo, una maana Mbowe ndiye anayeamua nani awepo na nani asiwepo katika nafasi fulani? Yaani hata haujiulizi Bon yuko hapo kwa utaratibu gani kikanuni?
 
Boniyai chukua maua yako 👉💐💐💐💐👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐
mkuu ukimwangalia vzr bony yai, haungei kwa kumaanisha,. Huyu boni na sugu chadema inatakiwa wawe nao malini sana
 
Kamyafisha mwenyekiti Mbowe haswa; Kuna Raha sana kufanya press wa Mwisho
 
nitakuwa wa mwisho kuja kumwamin huyu jamaa kwamba yupo pamoja na wenzake, mbowe kamwacha hapo awe tiss wake. wawe naye makini sana. amebaki hapo kikazi na katu hatakuja kuondoka.

Angetafakari uwepo wake kama una tija kwa kuwa yupo na kundi ambalo haaminiki.
 
Muache ushamba, mjipe homework kujua mifumo inavyofanya kazi. Unaposema Mbowe amemuacha hapo, una maana Mbowe ndiye anayeamua nani awepo na nani asiwepo katika nafasi fulani? Yaani hata haujiulizi Bon yuko hapo kwa utaratibu gani kikanuni?
hujui unachoongea ndugu, ungenyamaza tu ingekufaa sana. uwe na maneno ya akiba lakini.
 
mkuu ukimwangalia vzr bony yai, haungei kwa kumaanisha,. Huyu boni na sugu chadema inatakiwa wawe nao malini sana
Leo nimemsikiliza sana kuanzia mwanzo hadi mwisho na nimempongeza sana keasababu mtu kama boni anasafari ndefu ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom