- Thread starter
- #301
Alielewa sana mpaka tarehe akapendekeza, Ila sio Poa kabida๐Hakumuelewa mwamba ๐๐๐๐
Alielewa sana mpaka tarehe akapendekeza, Ila sio Poa kabida๐Hakumuelewa mwamba ๐๐๐๐
Wakipatikana wasichana 1000 wa hivyo, mabinti zetu watakuwa salama sana. Namba E zitakuwa salama salmini...Utakuta alishajipaka na vumbi๐ ๐ ๐ ๐๐๐ kwa kupania mechi.
Kwa sababu ndio michezobya vijana siku hizi๐
Jibu lako hili, natafuta namna ya kukurudisha kwenye mstari..!! Ila sema nini mwamba, kama ulimwambia akuonyeshe tuambie tu..!! Maana isije ikawa tomato iliyokuwa inatumika kwenye chips alizokula ilihusika..!!Si kuona jina lake wala bench hayupo๐
Vijana wanashangaza sana, afadhali unisaidie๐๐๐Sasa mshatongozana mnaremba nini ๐๐๐๐๐
Kwamba hamchatigi matusi na wapenzi wenu ๐๐๐๐๐au ni mimi tu nna tabia za ajabu uwiii ๐๐
Hapana mkuu, hata sikuuliza mara ya pili, ilivyo sema tu nikamwambia panda gari nikurudisheJibu lako hili, natafuta namna ya kukurudisha kwenye mstari..!! Ila sema nini mwamba, kama ulimwambia akuonyeshe tuambie tu..!! Maana isije ikawa tomato iliyokuwa inatumika kwenye chips alizokula ilihusika..!!
Subiri ukue, utajua muongozo mzima. Kumtoa mwanamke out, isiwe sababu ya kwenda kulala naye. Mnaweza toka out hata miezi, nyie ilikuwa ya ngapi hiyo? Kama ni mara ya kwanza, alishtuka akajua akizubaa yeye ndiyo atakuwa hiyo dinner.Kwa hiyo kumbe tukiwapa good time tunachemka. Inabidi iwe wewe mama boke, rara nikurarie๐๐
Dada akaona asiwe cheap level ya kuliwa kisa kuku chips na pombe,๐ kwa upande mmoja jamaa amfikirie kama mwanamke anaejielewa, you are right.Wakipatikana wasichana 1000 wa hivyo, mabinti zetu watakuwa salama sana. Namba E zitakuwa salama salmini...
Kheeee...!!!! Mama BHOKE tena..!!!Kwa hiyo kumbe tukiwapa good time tunachemka. Inabidi iwe wewe mama boke, rara nikurarie๐๐
Akusaidie nini tena๐Vijana wanashangaza sana, afadhali unisaidie๐๐๐
Afu weweeeee..!!!Subiri ukue, utajua muongozo mzima. Kumtoa mwanamke out, isiwe sababu ya kwenda kulala naye. Mnaweza toka out hata miezi, nyie ilikuwa ya ngapi hiyo? Kama ni mara ya kwanza, alishtuka akajua akizubaa yeye ndiyo atakuwa hiyo dinner.
Hukupanga naye tena lini mkanyanduane?Hapana mkuu, hata sikuuliza mara ya pili, ilivyo sema tu nikamwambia panda gari nikurudishe
Na wakipatikana vijana wa kiume 1000 kama wewe, tutakuja kuwa na vijana wa maana sana. Peterrabbit ajifunze kwako and 100 othersDada akaona asiwe cheap level ya kuliwa kisa kuku chips na pombe,๐ kwa upande mmoja jamaa amfikirie kama mwanamke anaejielewa, you are right.
Pole sana ulikua mzembe inaonekanaAlielewa sana mpaka tarehe akapendekeza, Ila sio Poa kabida๐
Basi nia yake ilikuwa nzuri, but hiyo ilipotokea akaona asionekane mswahili. Aje kwenye miadi yenu, hata akiwa hivyo atakueleza utamuelewa.Bantu Lady iko hivi. Alipanga nimle hiyo siku. Mimi nikaongeza manjojo ya kumtoa dinner ila haukiwa mpango wetu.
Tena alipanga wiki kabla na siku ya tukio nikamcheki akasema yuko fit
Tukio bado Jipyaaaaaaaa, Acha kwanza nisahau๐๐Hukupanga naye tena lini mkanyanduane?
โ๏ธ We dada unajielewa sana, wape elimu hao vijana.Subiri ukue, utajua muongozo mzima. Kumtoa mwanamke out, isiwe sababu ya kwenda kulala naye. Mnaweza toka out hata miezi, nyie ilikuwa ya ngapi hiyo? Kama ni mara ya kwanza, alishtuka akajua akizubaa yeye ndiyo atakuwa hiyo dinner.
Fuata muongozo wa hawa wadada nadhani una daftari na kalamu kuandika points.Akusaidie nini tena๐
Ila sio fresh ??View attachment 2622785
Kichwa cha chini kinahusikaje sasa๐๐๐
Bichwa lako ๐๐๐๐๐ wee huoni kilivyochachamaa? Kipe pole kimeachwa kwenye mataa ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธKichwa cha chini kinahusikaje sasa๐๐๐