Wauza pumba za mifugo

Wauza pumba za mifugo

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
5,482
Reaction score
8,594
Wakuu hawa wauza pumba ni kama wanafanya utapeli kwetu wafugaji!!! Yaani pumba unaenda kununua unakuta hazina hata chenga chenga! Ni mavumbi tu yasiyo na kitu! Na wengi hawajashtukia ili suala! Sijui Huwa wanazipeta kutoa chenga waziuze pekee....
Bongo Kila kitu usanii tu! Serikali ya kisanii, wananchi wasanii.
 
Pumba ya Bei chee hiyo.
Inategemea anapochukulia kila Grade na bei yake.
Kuna zile wanajaza taka za magunzi kuna, vumbi tupu na kuna iliyojaa chakula.

Kuna mtu atachukua grade A anajua bei ina match quality wateja watamuelewa na atauza.
 
Back
Top Bottom