Bongo tambarare, Popote weka kambi

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,502
Reaction score
6,460
Habari ndiyo hiyo,

Threads zingine zikianzishwa humu ni kama vistori vya utani vileee....!! Unaweza hata usicomment kwa kuona ni utunzi wa mtu tuu.

Kuna mdau (simkumbuki ni nani) alianzisha uzi humu juu ya watu kubanjuana kwenye vyoo vya maofisi na akalalamika kuwa wanasababisha wengine kuteseka kwa kubanwa na haja muda mrefu, yamenikuta live.

Jana nilikuwa busy sana na kazi iliyonileta hapa jijini kwenu Daslama ili niweze kuimaliza siku hiyo hiyo ya jana nipate na wasaa wa kufanya yangu siku hii iliyofuata. So, niliwaomba wenyeji wangu (wenye ofisi) tubaki mpaka tuimalize kazi hata kama ni usiku mzito tutaelewana tuu, nashukuru walikubali kwa moyo mweupee!!

Wakati kazi ikiendelea around saa kumi na mbili jioni nilibanwa na haja, kufikwa kwa toilet nakuta pako locked! Nikarudi na kuwaambia jamaa choo chenu kimefungwa, wakahamaki lakini ikatokea hoja kwamba kuna mzigo utakuwa unaliwa huko maana huwa havifungwi na jioni hii flat hii hakuna mtu!! Mwisho wa siku ikaamuliwa uwekwe mtego (kuhakiki kama ni kweli) hasa baada ya wenyewe pia kuhakiki kuwa pamefungwa.

Baada ya kama dakika 20 hivi alitoka mmama mtu mzima na heshima zake huyooo kwa kasi akashuka ngazi kaingia kwa gari yake ndukii.....!!! Baada ya kama dakika tatu hivi akatoka mchizi anajirekebisha suruali na shati wala hana wasi wasi akachungulia chini akaangaza huku na huko huyoo nae akajiondokea taratiiibu. Wote wanafanya kazi katika ofisi zilizopo katika jengo hili hili na wanafahamika vizuri sana na wenyeji wangu hapa

Daaah!! Yule mama ndiye aliyenisikitisha, maana hata wenyeji wangu nao walibaki na butwaa kuu coz ni mama mwenye familia inayojiheshimu na yeye pia anajiheshimu, ni mtu mzima sana na watoto wake huwa wanakuja hapa mara kwa mara ni wadada wakubwa tuu ambao ni rika la kijana aliyekuwa nae chooni.

Huyu kijana simzungumzii sana kwa sababu ni msela tu, wenyewe wanadai ni mlevi na ana mambo ya ujana mengi!! Ishu ni status ya huyu mama

Hatari sana, akifika home atadai nilibanwa na kazi mingi mingi doooh!! Imeniuma sana, nilitamani nimfuate yule mama nimwambie nimekuona ulichikifanya nione angeniangalia vipi usoni

Gesti zipo kibao jamani, haya mambo mengine ni kujiabisha tuu
 
Mkuu, kwani huyo mama akienda guest ndo heshima yake itaongezeka? Anaogopa kwenda guest coz anahisi atakutana na watu wanaomfahamu pia. Cha msingi ni kujiheshimu na kujitambua tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
..akatoka ndukiiii.....raha ya penzi popoteee..cha msingi malengo yatimie...condom tu ndo haikuwepo
 
Aiseee heshima sasa imepungua........watu hawajiheshimu kabisa......wala aibu hakuna....
 
Sasa huyo mama muda wa kwenda guest angeupata saa ngapi????? Kula kitu roho inapenda bhana
 
Mkuu, kwani huyo mama akienda guest ndo heshima yake itaongezeka? Anaogopa kwenda guest coz anahisi atakutana na watu wanaomfahamu pia. Cha msingi ni kujiheshimu na kujitambua tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Wewe unasapoti watu kumangana kila mahali kama mambuzi? Choo, tena choo cha ofisini siyo nyumbani ni kwa ajili ya kuhifadhi uchafu tu.

Halafu! Kwa nini udanganye watu kuwa upo kazini kumbe unamangana na wahuni vyooni? Inaudhi
 
Hili neno 'ana heshima zake' sielewi kabisa...linavyotumika...
 
Sipati picha kama ningemuona mimi huyu mama aaaaaah haki yake muumba ningempiga picha
 
Mama alikuwa ana pata cha chap chap heshima siku hizi imekuwa zero uzinzi umezidi watu hawana hofu kabisa
 
Mtu mwenye heshima zake angejua jinsi ya kujistiri na haja zake. To me a public toilet, is a big NO. Kuna sehemu nyingi zenye staha ambazo anaweza fanya yake bila ya kujianika.
 

Story zangu zilionekana za kutunga lakini kuna mambo mengi mno tunayashuhudia ambayo tukiamua kuyaandika yote yataonekana fix
Mfano wa wazi ni vyoo vya mabar ya Dsm ni guest zisizolipiwa
 
Mtu mwenye heshima zake angejua jinsi ya kujistiri na haja zake. To me a public toilet, is a big NO. Kuna sehemu nyingi zenye staha ambazo anaweza fanya yake bila ya kujianika.

Angalau nimekuelewa hapa ila ujue wapo watu maeneo hatarishi kama hayo ndo wanapata mzuka,wa sex..
 
Angalau nimekuelewa hapa ila ujue wapo watu maeneo hatarishi kama hayo ndo wanapata mzuka,wa sex..

Na huenda huyo mama aliweza kufika kilele within 5mins tu... Just kutokana na eneo walilofanyia kuwa ni hatarishi... Watu wanastarehe za ajabu mnooo hapa mjini...
 
Na huenda huyo mama aliweza kufika kilele within 5mins tu... Just kutokana na eneo walilofanyia kuwa ni hatarishi... Watu wanastarehe za ajabu mnooo hapa mjini...

Exactly...sasa kumwambia hajieshimu ni kumuonea...
 
Wewe unasapoti watu kumangana kila mahali kama mambuzi? Choo, tena choo cha ofisini siyo nyumbani ni kwa ajili ya kuhifadhi uchafu tu.

Halafu! Kwa nini udanganye watu kuwa upo kazini kumbe unamangana na wahuni vyooni? Inaudhi

Sisapoti kumangana hovyo kwa mtu anayejihishimu na kuheshimiwa kama mke/mme wa mtu, iwe chooni au guest sijui lodge etc.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
pole kwa kuumia, mbona kawaida hio, tena inakuwaga nzuri sababu anatuma salamu kuhamsha mic, baada ya hapo anategesha amplifer yake mic inachomekwa sound zinaanza sikika, ni tamu aisee, mimi nilijaribu siku 1 ila sijarudia tena.
 
Hili neno 'ana heshima zake' sielewi kabisa...linavyotumika...

Mtu na heshima zake tunangalia zaidi maadili yake, ni ambaye anayoyafanya na maisha anayoishi yamemfanya kuwa ni mfano wa kuigwa katika jamii anayoishi kutokana na maadili mema.

Ana nidhamu kuanzia usoni ukimuona, mavazi, familia yake na hata kazi anayofanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…