Akishinda kayumba, itakuwa kama ilivyokuwa kwa jumanne idi, wakati ule alipokuwa anaimba nyimbo zilizokuwa napendwa na watu..... we must b creative jamani..... ni hayo tu
Aliwahi kuuimba bwana popoma acha hizo,ulikuwa hufuatilii eeh?
Kazi kumendea vibinti vya hostels,sasa kwa taarifa yako kwangu mimi ndio wimbo aliouimbaga vizuri kuliko nyimbo zote.