Bongo star search 2015


Mary Kato hapiti top 3,wewe mchukue Fenabo Kayumba ni wangu since day 1.
 
Jamani huyu aliyeimba afrika ndio mwenye kibaji zaidi ya hao wotee kuna kitu kimejificha sanaaa ni ngumu wabongoo kukionaa. Nampa kura yangu aisee amenikunaaa mwee!!!

akiimbaga huu wimbo utadhani ye ndo mmiliki sema kuna mtu kashikilia nyota ake haonekani
 
hilo ndugu mbona tunalijua muda mrefu kayumba yuko katika management ya mkubwa na wanawe tunaoishi Temeke mikoroshini tunalijua swala hilo acha tujivunie

Kumbe ndo maana anaimba sana nyimbo za yamoto
 
Top three yangu ni
Kayumba
Fonabo
Angel japo inaniuma leo hakufanya vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…