Bongo star search 2015

Huyu kawapambanisha sankoro na cheketua ha ha haaaaa
 
Labda aliyebaki ngoja aje, ila hadi hapa kwa mtazamo wangu bado sijaona aliyemzidi Angel Many Kato na Kayumba Juma
 
woyooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Fridaaaa
 
Ila jamani huyu Kelvin kanisikitisha sana kwa story yake.
 
Labda aliyebaki ngoja aje, ila hadi hapa kwa mtazamo wangu bado sijaona aliyemzidi Angel Many Kato na Kayumba Juma

Mkuu kanumba ndo mshindi.tunatafuta mshindi wa pili na watatu
 
Wale wambea wenzangu haka ka Frida sio kakoboaji kweli?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…