Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
As if yeye sio judge. Kev au jack mmojawao anatoka. Nahisi ndo maana walimrudisha frida
Fonabo anajiamini..kaja na wimbo mpya
Ananikumbusha Rodgers lucasFonabo yuko poa sana
Yani mtu una tension afu upate critic kama ile, inakuua kisaikolojia. Leo ni finale kama mtu hakudeserve mlimpitishajeAna masifa huyu master jay Jack sio mubovu kivile hata huyu mpiga gitaa Leo wapiga vyombo wamezidisha sauti
Jacky kaimba fresh sana kaniboa coz kamshusha confidence mshiriki mpuuzi sana
Ananikumbusha Rodgers lucas
Si unanijua mwanao nilivyo na memory. Hapa namsubiria tu frida I hope atapiga zile rap zakeMhh..sikuwahi kuusikia huu akiimba
Mater J ana majina yake mfukoni.
Yani mtu una tension afu upate critic kama ile, inakuua kisaikolojia. Leo ni finale kama mtu hakudeserve mlimpitishaje
Broo fonabo yupo vizuriiiiHaingia top 3 huyu na kujiamini kwake, wimbo wake siyo impressive
Kawaida yake, unakumbuka alishahawahi kumtemea shit James Martin kwenye fainali kumwambia anaonekana kama mchunga mbuzi/mlinzi wakeMaster jay ana sifa labda kapiga kiroba
Master jay ana sifa labda kapiga kiroba