Bongo soka miyeyusho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo soka miyeyusho!

Discussion in 'Sports' started by Magehema, Oct 6, 2009.

 1. M

  Magehema JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi karibuni kampuni ya NMB ilidhamini mafunzo ya ukocha wa awali yanayotolewa na Chama Cha Soka Wilaya ya Kinondoni (KIFA). NMB ilitoa tracksuits, mipira, pamoja na raba kwa ajili ya washiriki wa hayo mafunzo. Cha kushangaza ni kwamba mafunzo yameanza zaidi ya wiki sasa na hakuna kifaa hata kimoja kutoka NMB kinachotumika na wanamafunzo, hii maana yake nini? Je ndo kusema hivyo vifaa ndo mali ya KIFA? Je NMB wanataarifa kwamba vifaa vyao havitumiki kama ilivyokusudiwa? Ni lini tutaachana na hizi njaa za ajabu ajabu????????
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Mi ndo maana ninasema sipendi mambo ya mpira kabisa, maana wasanii wote wa kibongo wapo huko, na wanaona ndo kama sehemu ya kuganga njaa.

  Vizee vya ajabuajabu vipo huko, havijui a wala be, kazi kubishana tuu mchana kutwa!
  Sipendi mpira mimi kabisa!
   
Loading...