Bongo sio bahati mbaya

Bongo sio bahati mbaya

Mtu ana vyeti feki na bado yupo madarakan na anafanya kazi nzuri

Yule mwenye vyeti na kila kitu hawezi kufanya kazi kwa ufanisi

Hii ndio bongoland
 
Mtu ana vyeti feki na bado yupo madarakan na anafanya kazi nzuri

Yule mwenye vyeti na kila kitu hawezi kufanya kazi kwa ufanisi

Hii ndio bongoland
Ila bongo raha sana
 
Kweli hapa ndio bongo ,hapa ndio kwetu hata sio bahati mbaya, kila sekta haiko serious, ebu ona hapa

KWENYE SOKA

Kiatu cha mchezaji bora hapa tz wanachukua wachezaji wawili, malinzi kaamua maana hakuna sheria iliyowahi kuwekwa endapo hali kama hii itatokea

KWENYE UREMBO -MISS TANZANIA

Huku sasa ni balaaa, kwenye mashindano ilionyeshwa IST mpya,
Lakini siku anapewa kapewa kagari kametoka garage sijui million moja kale

KWENYE SIASA -BUGENI

Mbunge anasema, humu ndani wabunge wote tumepata ubunge kwa kuroga na kama wapo ambao hawakuroga basi hawazidi watatu

KWENYE MZIKI
huko kiba kajipodoa, kavaa matiti, sket, brazia, kiremba, shanga, hereni ,mixer mauno et ubunifu, Mara ben kaonyesha tako hadharan

MSIBANI
Rc Arusha na kamati yake wameamua pesa ya rambi Rambi ikakarabati hospital ha ha ha haaaa maafa yasingetokea hiyo hospital ingejuta

Ongezea raha zingine, hapa ndio bongo land, kila idara vituko
[emoji23] [emoji23] [emoji80] [emoji80] [emoji80] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii ndo bongo bwana,

Watu wako msibani wengine wanatokea na kusema hawakupewa mda na wao waongee hii ni hatari.

Waziri anasema wananchi kuleni nyasi ndege ya raisi lazima inunuliwe.

mbunge anasema wabunge wenzake wa chama furani wanafikiri kwa kutumia makalio.

Mbunge mwingine anasema mimi siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa.
Ha ha ha tule nyasi ndege ije
 
Inasikitisha sana...

Kwa bongo hayo ni madogo sana... nchi za wenzetu, wanatembea uchi kabisa... kuna maeneo ruksa kufanya ngono hadharani...


cc: mahondaw
Role model wetu ni babu zetu na baba zetu, hayo ya kuonyesha tako wameiga kwa babu yupi .hizo nchi zingine pengine na wao wameiga kwa wazaz wao
 
apo veeeepeeee wadau. Ii imekaa mwake xana. Teh teh
(Kiswahili kimekuwa kigumu sana kwemye uandishi)
alafu, ivi,mziki, xaxa, thanx,icho, asubui,ndo n.k
Rambi rambi ndiyo mpango mzima kwa sasa
''Ukiwa na veherehani vinne hicho ni kiwanda''
Hapo kwenye xxxxxxx ,veeepe vinakera Ila ndo bongo basi tawireeeee
 
Ila kwenye mziki hukufanya utafiti wa kutosha,maana Kiba alikuwa akiimba wimbo wa Brenda Fassie. Mwanamuziki wa Africa Kusini. Ni marehemu,huenda humjui. Ilimlazimu kujaribu kuvaa uhalisia. Na kwa kiasi kikubwa alifanya vizuri katika hilo tamasha.
Nmefanya na najua kwann alifanya hvyo lakini sikubaliani na huo ujinga ,hivi siku akitaka kuwasilisha ujumbe wa mashoga atafanyaje
 
Role model wetu ni babu zetu na baba zetu, hayo ya kuonyesha tako wameiga kwa babu yupi .hizo nchi zingine pengine na wao wameiga kwa wazaz wao

Hao mababu zetu, enzi hizo walikuwa hawavai nguo kabisa zaidi ya kujisitiri sehemu zao siri...


cc: mahondaw
 
Hela zilizochangwa kuwasaidia waathirika wa majanga mbalimbali ndizo za miradi ya serikali
 
Siku hizi polisi wanatoa lifti kwa raia ila destination ni kituo cha polisi
 
KWENYE MZIKI
huko kiba kajipodoa, kavaa matiti, sket, brazia, kiremba, shanga, hereni ,mixer mauno et ubunifu, Mara ben kaonyesha tako hadharan
Swala la Ali Kiba ni kilaza tuu atakayelishangaa.
Ali kiba alikuwa kwenye mashindano na alitakiwa awakilishe muziki wa kiafrika na akachagua wa mwanamama brenda fasie
sasa aliwakilisha vyema sanaa ile. na jinsi alivyoweza kuvaa uhusika aliondoka na tuzo.

wewe unakalia kumnanga apa mwenzio tuzo iko ndani na bado karudi na mahela kibao.
shoo tu kaingiza zaidi ya mil 50, wewe unakaa kumuandika apa unasubiria mshahara wa mkoloni ambaoi hata milioni haufiki poor you.
Kiba go go go
sijui watz nani katuloga kwakweli
 
bongo sio bahati mbaya kukuta mtu hajui jambo lkn kwasabb ya mkumbo ama ushabiki akaanza kulinanga
kama mleta mada apa anavyo mnanga Kiba.
ungejua mwenziio na tuzo alipewa usingeandika apa
 
Asee hiyo ndio land ya bongolala wanakoishi wadanganyika....
 
Ila kwenye mziki hukufanya utafiti wa kutosha,maana Kiba alikuwa akiimba wimbo wa Brenda Fassie. Mwanamuziki wa Africa Kusini. Ni marehemu,huenda humjui. Ilimlazimu kujaribu kuvaa uhalisia. Na kwa kiasi kikubwa alifanya vizuri katika hilo tamasha.
na mwambie tuu ajue Kiba alipata adi tuzo na mshiko kibao na bado makampuni ya ukweli yamejitokeza kumpa sapoti kwa kazi nzuri aliyoifanya.
nadhani tunasumbuliwa sana na uelewa wa mambo hasa kwenye mambo ya msingi.
ushabiki, na umbumbu unatusumbua sana.

ni kichaa tu atakaye idharau kazi ya Kiba na kuiona kuwa haikuwa kazi nzuri iliyo vaa uhusika.
watu mamilioni walinyanyuka kumshangilia afu wajinga wachache wamnakaa kwenye key bodi/pad kumzodoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom