Nimekosa hata la kusema. Ingekuwa nchi yenye vidume siku utawala dhalimu unapinduliwa huyu ananyongwa. Anaua watu makusudi Kwa ajili ya Tumbo lake. Binti Malecela Mwele asingejubali upuuzi huu.
kajitahidi kwa umri wake ku mantain shape kiasi hiko tumpe hongera......ila nyungu atoe pale muhimbili,watu watakua na false hopes wakiumwa waende Muhimbili kitengo cha nyungu, ambayo haijathibitishwa kuponyesha...