njundelekajo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 310
- 228
ukimwambia mtu mimi ni msanii atakuuliza unafanya music gani? akikuoonea huruma sana atakuuliza unafanya muv? ...stil mpo analojia wengine ni wasanii wa kuchonga vinyago , kucheza ngoma nk,....alafu hivi daresaalam ni mkoa wa wasanii na watu maarufu nini?mbona ukifanya sanaa hata kama pesa ya studio uliochangiwa na wana kijiji lazima mkaishi manzese