Tusemeni ukweli nchi gani utapata plot bleach ukiwa kijana zaidi ya Tanzania hii ndo nchi ya Kula Wazee tuire kweri Maisha mbona yanaenda wakuu nyie mna shida gani?mna njaa? pombe mmenyimwa?wanawake wazuri hamuwaoni?
Kila siku humu tunakumbusha tumrudie kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S hatusikii matokeo yake ni HAYA. Mwamba aliuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.