Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,636
"Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi!
Haya mambo ameyaongea jamaa yangu kwa hasira nikacheka sana akidai kwamba hali ni tete.
Nilimcheka sana jamaa ila nimeona nije kushea nanyi mnieleze experience zenu kuhusu hili! Je, kweli hawa watoto wamefikia kiwango hicho?