kwi kwiimtu tupo na demu wake supermarket NUSU SAA NZIMA afu muvi ina saa moja na nusu
hahahhaaaa...akipigwa ngumi anaangalia pa kuangukia kwa usalama wake asijeumia. milio ya risasi kama unawasha njiti za kibiriti
Jini anavuka barabara..anaangalia usalama wake kwanza.
hospitalini wapo wao tu
Jini anavuka barabara..anaangalia usalama wake kwanza.
Mjin usiku kijijin mchana....
Patcho mwamba anaigiza km malaika af anaongea 'ucjal ndugu,iko mungu juu...itakusaidia!
Kwenye subtitle mgeni anaitwa new people