Listen guys chumo film ina ujumbe tofauti na mnavyofikiri,hiyo movie inaonyesha jinsi ambavyo mtu unavyoweza kustruggle kiuchumi,kijamii na hata kibiashara lakini hatma yake ukavurugiwa na kitu kidogo kama MALARIA kimsingi inatueleza athari za malaria.