Bongo movie wahamia CCM

Bongo movie wahamia CCM

god-is-awes-550x320.jpg
 
Usicheze na njaa.

Njaa iko mbaya sana sana.

Waweza vaa micheni mizito ya GOLD na hata kunukia Vizuri kwa UTURI lakini NJAA ikikubana hutotofautiani na KALUBANDIKE.

Hivi wewe unadhani aliyesema ADUI yako mwombee njaa alikosea??????
 
Inakuwaga mbaya sana inapokaribia kufika kwenye ubongo.
 
Hapo ni pesa ndo zimewapeleka uko ila mioyoni mwao......tena kama huyo.....nani asiyemjua kuwa ni mwanachama wa nccr
 
Hatar sana kwa umr kama wa kina JB kutojielewa anauza utu kwa kofia, shat na pesa.
 
sio muda mrefu wataanza kubebeshwa sembe hao kama jb mtumbo wake huo utabeba kilo 500.
 
kwishney wataisoma namba kama walifikiri watatoka hiyo ndo byebye
 
Back
Top Bottom