Bongo movie Sasa wamezidi

bado nakumbuka ngumi na komfuu kati ya binadamu na jini, jini chali! hahahahahahaha! RIP jini!
 
achana na hiyo me niliangalia movie ya kibongo mtu anaendesha gari akapigwa risasi ya kichwa akapaki kwanza gari pemben ndio akafa RIP BONGO MOVIE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana iyo sasa kuna ingine nimeona jana jini anacheki uku na kule ndo avuke Barbara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…