and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,304
- 39,846
- Thread starter
- #81
Pongezi sana
Mkuu kitambo sana shwari mkubwa jozee?Kwisha habari yao...!!!!...wasitegemee nitawasapoti kwa kweli..Bora nikaangalie katuni tu nipoteze mawazo...Nikichoka baadae niangalie zangu series kuliko huo upuuzi wao!!
shwari sana mkuu aiseeeMkuu kitambo sana shwari mkubwa jozee?