Bongo movie bhana wanachekesha kweli!

Mie namuangaliaga kingwendu na king majuto pekee, wengine nawaona wanauza sura kwa kupaka poda tu ...!
 
Hivi Joseverest: yupo humu kweli, au katekwa na Nissan nyeupe, sijamuona siku mbili tatu hivi.
 
Mdada akiigiza anaumwa na amelazwa hospitali. Unakuta kajiremba na ma-make up, kabandika kope, wigi, kuongea kwa pozi ,,,,,, hawana uhalisia hata kidogooo
 
Flashback, mtu anarudisha kumbukumbu miaka ya 1960 alivyokuwa anachezea maisha na kuponda raha, lakini background ya nyimbo kwenye flashback ni nyimbo iliyotoka jana...


cc: mahondaw
Na magari ya kukodisha mkuu Smart911: tumesahau.
 
Hawana lolote wengine wababaishaji tu, wanatuuzia kanyaboya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…