Bongo zozo aonesha vyakula vya ajabu vinavyoliwa Cambodia

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni yaani tulikuwa tunasema wachina ndio Wanakula vitu vya ajabu kumbe wao Hawafui dafu mbele ya watu wa Cambodia Katika jiji PHNOM PENH.

Bwana bongo ZOZO ameonyesha utayari wa kutaka kula VYAKULA hivyo vya ajabu akiwemo buibui, Nyoka, popo, jongoo, chura, barare,kunguru, Nyoka, siafu, mjusi, senene,chavichavi,viwavi jeshi,konokono,funza na wengineo
Je wew Chakula gani cha ajabu umewahi kula?
Link Hyo hapo chini

Bwana bongo ZOZO ameonyesha utayari wa kutaka kula VYAKULA hivyo vya ajabu akiwemo buibui, Nyoka, popo, jongoo, chura, barare, Nyoka, siafu, mjusi, senene na wengineo

Link Hyo hapo chini

Wafaransa wanakula vyura, watanzania wanakula senene(nsenene), barare(panzi, nzige), watanzania wanakula, nyoka chamaki nchanga ni mtamu pia, popo wazanzibari wanawala, wengineo pia wanaliwa na watanzania. Kila mtu anakula chakula kutokana na asili ya vinavyoliwa alikozaliwa, mtu wa bara hayo madudu ya baharini yanayoliwa na watu wa pwani huyaona ni ya ajabu, sioni ka kuna cha kustaajabisha kwenye mada hii.
 
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni yaani tulikuwa tunasema wachina ndio Wanakula vitu vya ajabu kumbe wao Hawafui dafu mbele ya watu wa Cambodia Katika jiji PHNOM PENH.

Bwana bongo ZOZO ameonyesha utayari wa kutaka kula VYAKULA hivyo vya ajabu akiwemo buibui, Nyoka, popo, jongoo, chura, barare,kunguru, Nyoka, siafu, mjusi, senene,chavichavi,viwavi jeshi,konokono,funza na wengineo
Je wew Chakula gani cha ajabu umewahi kula?
Link Hyo hapo chini

Ili chakula kiitwe chakula cha ajabu inabidi kiwe na sifa zipi?
 
Magonjwa yote ya ajabu ajabu yanatokea kwenye jamii za watu wanaokula kila kitu.
 
Kila chakula ni cha ajabu kwa mgeni wa eneo husika.
Hapa Tz Kuna watu wanadaka kumbikumbi na kuwala wakiwa hai, jambo ambalo kwa wengine linatia kichefuchefu....mtu anaweza kutapika kwa kuona tu!
 
Nishawahi kula mavi ya kukaanga miaka ya 80 wakati wa baa la njaa , mavi sema tu harufu ndio mbaya ila nichakula kizuri na matamu kwelikweli tatizo lake ile harufu haiishi hata uweke iriki upulizie na perfume ila kimba lazima lipige kilele
 
Wewe si mzima. Mark those words. Out of joke
 
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni yaani tulikuwa tunasema wachina ndio Wanakula vitu vya ajabu kumbe wao Hawafui dafu mbele ya watu wa Cambodia Katika jiji PHNOM PENH.

Bwana bongo ZOZO ameonyesha utayari wa kutaka kula VYAKULA hivyo vya ajabu akiwemo buibui, Nyoka, popo, jongoo, chura, barare,kunguru, Nyoka, siafu, mjusi, senene,chavichavi,viwavi jeshi,konokono,funza na wengineo
Je wew Chakula gani cha ajabu umewahi kula?
Link Hyo hapo chini

Siafu na senene ata kwetu wanaliwa mkuu .
 
Nilienda Kiloka sehemu inaitwa Maembe mbele kule kuna mito mingi wali hawaweki chumvi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom