Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,712
Mtu chini ya muembe anaangukiwa na dafu, au jambazi anaenda kuiba nyumbani kwa mtu, mlangoni anavua viatu...Ongeza na wewe ya kwako..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh! kumbe ndio inavyokuwa.Wanakuwa wamekodi nyumba za watu zenye tiles na wanaambiwa watalipia uharibifu wowote utakaofanyika.
Na wamalaya wote wanapenda picha za mapenzi hili wagegedane kwa Uzuri.Bongo movie wanajua movie za mapenzi tu ndipo wanapokuwa seriously na kazi yao.
Ova
Hata akiwa kijijini shambani analima na wigi na make up.Mdada akiigiza anaumwa na amelazwa hospitali. Unakuta kajiremba na ma-make up, kabandika kope, wigi, kuongea kwa pozi ,,,,,, hawana uhalisia hata kidogooo
Tangu Dada yake atimuliwe na shemeji yakeHivi Joseverest: yupo humu kweli, au katekwa na Nissan nyeupe, sijamuona siku mbili tatu hivi.
NyongezaFlashback, mtu anarudisha kumbukumbu miaka ya 1960 alivyokuwa anachezea maisha na kuponda raha, lakini background ya nyimbo kwenye flashback ni nyimbo iliyotoka jana...
cc: mahondaw