Bongo movie bhana wanachekesha kweli!

Mie namuangaliaga kingwendu na king majuto pekee, wengine nawaona wanauza sura kwa kupaka poda tu ...!
 
Hivi Joseverest: yupo humu kweli, au katekwa na Nissan nyeupe, sijamuona siku mbili tatu hivi.
 
Mdada akiigiza anaumwa na amelazwa hospitali. Unakuta kajiremba na ma-make up, kabandika kope, wigi, kuongea kwa pozi ,,,,,, hawana uhalisia hata kidogooo
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom