Bongo movie aibu tena

Yale maduka ya movie za kibongo yapo wazi,nendeni mkanunue movie ya Ray maana ndio wanavyotaka.
 
Hapana hio ishu ya maduka kufungwa ni ishu inayohusisha wao na TRA nadhani na mambo ya kodi
Hio ya muvi za nje kuzuiwa sio kweli
Ngoja nifuatilie zaidi ntarud kuchangia
 
Nilishasahau kuwa kuna bongo movie maana niliacha kuangalia kitambo sana baada ya kuona wako "too shallow". ndo maana hata Ney wa mitego anawa dis.
 
Bongo movie wanachotakiwa kufanya ni kuongeza ubora wa kazi zao..Hizi kampeni zao wala hazina mafanikio..Hata kama movie za nje zitafungiwa hiyo haitawafanya watu waangalie kazi zao..Sanasana ni kuongeza chuki tu
 
Bongo movie wanachotakiwa kufanya ni kuongeza ubora wa kazi zao..Hizi kampeni zao wala hazina mafanikio..Hata kama movie za nje zitafungiwa hiyo haitawafanya watu waangalie kazi zao..Sanasana ni kuongeza chuki tu
 
Mimi nilikua nanua sana kazi zao ila walipojitoa ufahamu na kuanza kutumika na maccm na kuanza kutumika kuua demokrasia nchini kwa kutumia umaarufu wao nikaapa kutonunua tena kaz zao wajinga sana hao waende wakauze lumumba kaz zao
 
Baada ya maandamano hayo waliyoyafanya madukani kaliakoo walilazimisha maduka yote ya filamu za nje yafungwe! Hawa jamaa sijui walikywa wanafikiria nini!
Lete picha,hivi wewe unaweza kukubali kufunga biashara uliolipia leseni kwa sababu tu cd za bongo muvi haziuzwi?
 
Yaani watu wamezoea sana kufanya vitu kwa kuvunja shereia na hawataki waguswe. Hiyo zama hawajui kuwa imekwisha?!?!?!
 
Pole zenu mnaonunua movies K/Koo..
Wenzenu nikiwemo mimi napakua series zangu za kikorea mwenyewe.
Hivyo hilo suala halitoniathiri hata chembe.

Tehe teheee subiri waandamane hadi nyumbani kwako. Wataandamana luninga yako oohhh.
 
Pole zenu mnaonunua movies K/Koo..
Wenzenu nikiwemo mimi napakua series zangu za kikorea mwenyewe.
Hivyo hilo suala halitoniathiri hata chembe.
Aise siwatafungia ataa huko unako pakua .hawa ni wakukemea sio wazima .movie gani hizi za kushauri watu etii wanywe maji mengi wawe weupe !!?
 
Izi movie wanazoanza katika sofa na kumaliza katika sofa izo izo,hawatoki, hakuna chakula,hakuna hata watoto labda wapelekwe shule au sehemu yeyote ile,..akifanya kosa unashangaa yupo jela bila hata kujua alikamatwaje ? Acheni bwana tuangalie movie za Hollywood kuna watu wanashirikisha Ubongo kutengeneza sio izi wanatumia Macho tuu..
 
Watu wana argue kama watoto humu. Hivi ingekuwa nyinyi ndio mnamiliki hizo filamu za nje mngekubali ziuzwe ki pirates waziwazi vile kama kariakoo na mitaani? Sisi wenyewe tunalaumu sana TBS,TFDA kwa bidhaa fake vipi leo tena tunalaumu TRA,COSOTA kushughulikia bidhaa feki? Watu wa Kariakoo wamezidi short cuts sana wao kila kitu wanataka kufanya wanavyotaka na si kwa mujibu wa sheria.
 

!
!
Mimi naiona fursa sasa hapa kwa wauzaji wa filam za nje. Kinachitakiwa sasa ni kuinvest katika ujuzi wa kudownload na black market. Kimsingi mimi kama mdau wa muvie sinunui cover kwa hiyo hata kwenye flash tu naibeba naenda nayo. Au tutumiane kwenye telegram. Haitahitaji kibanda kikubwa ni wewe laptop yako modem ya halotel labda na simu tu. Selikali kwa maana ya cosota na tra unawazunguka tu kama huna akili nzuri. Wakijifanya wehu ni bora tukawa wehu mara mbili zaidi.
 
Yaan ninunue nyimbo za akina diamond, akina omydimpoz kweli? Msanii badala ya kutoa ujumbe yeye anang'ang'ania kushika kende?

Ninunue movie za akina wolper akina uwoya akina rey jambaz anaingia kuvamia anava viatu shenzyyy
 
Hao jamaa hizo movie ni wanazifoji, na ndo hao hao ambao wakishafoji hiz za Nje wanafoji pia na hiz za ndani

Kama nchi tunawajib wa kupinga issue ya Piracy hata kama huyo Rambo sijui,Chackie chain hajalalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…