Katika movie hii ya kusisimua ambayo mwishoni itakuacha na simanzi inamuelezea Samirah na mpenzi wake Ram ambao wote wawili wanapendana sana na upendo wao unakatishwa pale kijana Thoby anapotokea kumpenda Samirah na kumtolea posa huku Samirah bila kujua kama posa haikuletwa na mpenzi wake Ram anakubali kuolewa, fatilia zaidi movie hii nzuri upate kujua hatima yake.
ACTORS/CASTS: YUSUPH FUNGA, SARI NASSORO, SLIM OMARY, FADHIL MSISILI.
PRODUCERS: SAIDY .H. ZUBER
MOVIE MPYA 2018 YENYE VISANGA VYA MAPENZI NA USALITI NIZKIWE HAI PART 1.
BONGO STAR FLIX HD CHANNEL..BONYEZA LINK AND ENJOY.
Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.
1. Bofya link hii hapa
Bongostar Flix
2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.
3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.
4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.
.