bongo mbona hamna sehemu kama hizi?

bongo mbona hamna sehemu kama hizi?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
ruhr-germany-old-cars-in-a-junkyard-D28JC7.jpg
 
bongo kila kitu dili.... hakuna ku-dispose kitu
 
Ng'ambo gharama za kodi kwa magari yalionza kuchoka ni kubwa. Isitoshe wanatengeneza wenyewe na bei ya kununua ni ndogo.

Ila kikwetu kwetu dah, hayo bado sana. Nakumbuka nikiwa sekondari shule ilikuwa na urafiki n shule moja ya norway, basi mkuu wa shule alivyoenda kule alirudi na tons and tons ya vitu vimeandikwa DISCARDED. Alirudi na viti, meza, Computer, vitabu na matakataka kibao.

Alisema kule alikuta vimefungwa vinaenda kutupwa basi akaviomba. Huku kwetu macomputer yale ndo yakafungulia computer room.
 
Hilo siyo jarara bali biashara ya mtu.

Angalia iluvyozungushwa na waya.

Kuna biashara kubwa za magari ya kizamani na hapa pia spea za magari hayo huwa yanauzwa pamoja na spea ya magari mepya.

Kuna program nyingi katika TV au hata YouTube. Angalia utajua.
 
Hilo siyo jarara bali biashara ya mtu.

Angalia iluvyozungushwa na waya.

Kuna biashara kubwa za magari ya kizamani na hapa pia spea za magari hayo huwa yanauzwa pamoja na spea ya magari mepya.

Kuna program nyingi katika TV au hata YouTube. Angalia utajua.

Sio Jarara mkuu ni Jalala
 
Hilo siyo jarara bali biashara ya mtu.

Angalia iluvyozungushwa na waya.

Kuna biashara kubwa za magari ya kizamani na hapa pia spea za magari hayo huwa yanauzwa pamoja na spea ya magari mepya.

Kuna program nyingi katika TV au hata YouTube. Angalia utajua.

Natafuta wasaa wa kuwaletea mjadala wa magari mapya yanapotupwa yakiwa yamekosa wateja...
Haya makampuni makubwa yana yard zao zinazohifadhi magari yaliokosa wateja...
Utashtuka...
 
Sisi tukila kuku hukuti hata kamfupa itakuwa tutupe gari mpya kabisa hizo. Nalishaambiwa wenye maduka ya magari hapa Bongo wananunua mikweche kama hiyo na kuirekebisha kuwa safi na kuiuza as if nothing happened before.
 
1968 Ford Mustang GT au 1959 Ford Thunderbird yana thamani. Haya ni magari "classics".

Wanaenda hapo kutafuta spare yake halafu wanauza kwa wapenzi wa Magari ya Classics.

Marekani haruhusu kuyasafirisha nje kirahisi. Rafiki yangu alisubiri miaki miwili kusafirisha lake kwenda Uhispania.

ImageUploadedByJamiiForums1435326691.307225.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435326708.754607.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435326720.921800.jpg
 
Ni mtaa gani huo ,nataka nikajiokotee japo mawili.
Bongo yanalipa sana.
 
Bongo bado sana haya mambo ni ya kufikirika tu hapa kwetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom