Bongo mandeleo kweli..............

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196
Kichumi na kimaadili.....

 
Last edited by a moderator:
Duh naona mambo nje nje siku hizi bongo soon tutakuwa kama Kingstone!!!!
Kama taarabu inachezwa hivi mungu tusamehe!!
 
Duh naona mambo nje nje siku hizi bongo soon tutakuwa kama Kingstone!!!!
Kama taarabu inachezwa hivi mungu tusamehe!!

Nakwambia ndugu yangu yaani ukiangalia ile taarabu asili na hii basi ni vurugu tupu yaani tofauti kabisa
 
Sioni nini wanacheza hawa vizuka. Wanarukaruka tu sio kitu mtu unaweza ukaona kua mtu anacheza ukafurahi. Kwanza wote ni shapeless wamekaa kama magunia ya nafaka.
 
Sioni nini wanacheza hawa vizuka. Wanarukaruka tu sio kitu mtu unaweza ukaona kua mtu anacheza ukafurahi. Kwanza wote ni shapeless wamekaa kama magunia ya nafaka.

Weye huoni mauno hayo? au una allergy nayo? ha ha ha
 
Yaani vichwa vyao vimejaa ngono tupu..............wanacheza utafikiri wako kwenye 6X6! God help us!
 
hahaha eti shape kama gunia la nafaka!,kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.:decision:
 
kuna tofauti gani kati ya kukatika huku na stripers...! Hapa naona ni kwa vile tu hawa wameamua kuvaa hivo vinguo kujifunika lakini ukweli ni kwamba now we are advancing slowly to having stripers club in Dar es Salaam. You wait in the next 3 years from now.
 
Hii nini nimeshangaa kuiona halawafu wanajiita watoto T aka K kwa mkeo hapa T tu. Na hii shughuli inaendeshwa na wale kinamama wa Clouds kipindi sijui cha Leo tena kilee?
 
Huu uchafu kwa kweli. Taarabu kumbe wanacheza hivi ehe?!!! kazi ipo
 
kaaaazi ni kaaazi....
yangu macho...
ila wanayakta...ukijaribu hapo unaweza telekeza familia
 
Dhana ya taarab imepotea............:playball:.......... Hii si taarab. Ni kitu kingine kabisaa..!!
 
Ndio modernised taarab jamani tukubali tu! si unaona wanavyjaza watu ukumbini lakini? maana yake wanakubalika. wale tunaopenda kina Issa Matona tusikilizie makwetu tu.
 
hilo ni kwaya la kiislam hilo...taarab ndo kila nyumba za waislam lazima wanayo kanda walau moja...kwaya hiyo msizarau..zenji, pwani yote ndo utambulisho wao...halafu hao wanaonengua, hawana tofauti na booty dance wale wamarekani wanaovaa kichupi tu na kuigiza namna ya kufanya ngono....hawa tena wamezidi zaidi....shetani anaimaliza bongo..
 
Back
Top Bottom