Bongo Lounge in Guangzhou, China

Bongo Lounge in Guangzhou, China

Sisi wataalam wa china, pale Guangzhou tunakula chakula cha kibongo long time����
Ukiingia kwa dada Kulwa pale tinxiu building ugali na vikorombwezo vyote vinapatikana muda wote na kama msosi umeisha basi unapikiwa.

hotel zote za vichocholoni zimefungwa hata sisi tulianzia hapa gorofa 27 lakini hotel zote zimefungwa za vichochoro zinatakiwa zinazotambulika ki serikali ni sisi pekee kwa sasa hapo GuangZhou,sasa tumehamia xiaobei Karibuni sana tuwe wamoja... Tusisahau: Pia kwa habar za ticket za ndege tembelea: www.facebook.com/travelpointtz
 
safi sana...feb 2015 lazima nitie maguu hapo
 
Iko mtaa gani China, mie hua nakula pale Kwa yule Mama anaitwa madina, Mara akaanza mbwembwe, Mara Chakula hakuna ukipiga cm unaweka order uli ukifika ule uondoke Ukifikaa mwenyee hayupo sijui yuko Nani, nikahamia Kwa Mdada Anaitwa Devika Chakula chake kizuri sanaaaa. Mashallah...
 
Wadau wa Tanzania and East Africa wote tunawakaribisha ktk hotel ya kisasa sana nchini china ukifika pande za GuangZhou usikose kufika kupata chakula cha East Africa na cha West..karibuni sana
www.facebook.com/travelpointtz
+255762252921.
WASILIANA NASI KUPATA TICKET KWA BEI RAHISI. DAR-CHINA.
Huduma zetu popote ulipo.

View attachment 215096View attachment 215097View attachment 215102
View attachment 215103 IMG-20141229-WA0004.jpg View attachment 215098
10414903_585595294917609_945990687916002278_n.jpg LOUNGE.jpg data=U4aSnIyhBFNIJ3A8fCzUmaVIwyWq6RtIfB4QKiGq_w,L5JuIUTl9Wg05prHHpHt8xAJ0J_OswvcVNgIXDUEMuNb0jvr.png
T.P.T.jpg DAR_CAN.png
 

Attachments

  • IMG-20141229-WA0014.jpg
    IMG-20141229-WA0014.jpg
    104.5 KB · Views: 179
  • IMG-20141229-WA0009.jpg
    IMG-20141229-WA0009.jpg
    98.8 KB · Views: 196
Iko mtaa gani China, mie hua nakula pale Kwa yule Mama anaitwa madina, Mara akaanza mbwembwe, Mara Chakula hakuna ukipiga cm unaweka order uli ukifika ule uondoke Ukifikaa mwenyee hayupo sijui yuko Nani, nikahamia Kwa Mdada Anaitwa Devika Chakula chake kizuri sanaaaa. Mashallah...

ni hapo hapo. kama una namba yake. wasiliana nae. kwa sasa migahawa ya uchochoroni imefungwa tumefungua yenye kutambulika rasmi na serikal.
 
Safi sana kwa moyo wakuwasaidia waTz wenzeni kufikia malengo yenu.Kikubwa uaminifu na matanzango zaidi ili vijana wengi waweze kujichanganya na fursa za kibiashara zilizokuwepo pande hizo.Big Up
 
wadau wa tanzania and east africa wote tunawakaribisha ktk hotel ya kisasa sana nchini china ukifika pande za guangzhou usikose kufika kupata chakula cha east africa na cha west..karibuni sana
www.facebook.com/travelpointtz
+255762252921.
Wasiliana nasi kupata ticket kwa bei rahisi. Dar-china.
Huduma zetu popote ulipo.

View attachment 215096View attachment 215097View attachment 215102
View attachment 215103View attachment 215104View attachment 215098
View attachment 215106View attachment 215109View attachment 215110
View attachment 215111View attachment 215135

nice.jpg job well done!!!
 
Back
Top Bottom