Bongo lini tutaendelea?


Timo

Timo

Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
24
Likes
0
Points
0
Age
27
Timo

Timo

Member
Joined Sep 14, 2011
24 0 0
Nikiangalia maisha ya huku kwetu, sio mazuri wala mabaya sana, sema kuna baadhi ambao wamefanikiwa, na wengine kama si tupo bado hoi,
Sasa kwa nchi za nje kuna mfumo wao wa watu kufanya kazi ukiwa nyumbani, bila hata ya kuwa na elimu ya kutosha!
Huu mfumo sasa hata huku umeingia na unaweza ukawa unaingiza kiasi cha fedha kupitia mitandaoni, baadhi yao ni: JigambeAds na JigambeBlogs - Blog and Earn hawa wanatusaidia na watatusaidia sana!
 

Forum statistics

Threads 1,236,274
Members 475,050
Posts 29,252,401