Hapo tu ndo ulipofail ndg yngu ,,hutakiw kumkubal mtu kwa kuwa anapnda kitu unachokipnda ww
Tanzania sijaona MC mbunifu kama huyu jamaa,baada ya kufatilia video zake nyingi nimegundua hata Anord Kayanda Alikua na style hii.
Huyu jamaa nimemkubali zaidi kwa sababu anapenda rege kama mimi. Ni mkali gani wa rege bongo zaidi ya huyu?