Camera gani ulitumia na ulikuwa upande gani? Umepiga eneo kubwa!
Nimeyaona magari yetu ya Mlandizi hapo.Asante Mkuu kwa kunikumbusha nyumbani
Nimeyaona magari yetu ya Mlandizi hapo.Asante Mkuu kwa kunikumbusha nyumbani
Unakaa pande zipi pale? Tena mimi nimebukua Ruvu Sekondari pale wakati ule ikiwa ni ya mchanganyiko. Mitaa ya Mlandizi naijua vyema sana:upande wa Kilangalanga na ule wa Mlandizi bondeni hadi Ruvu JKTKaka Mlandizi tena..kumbe wewe wanyumbani kabisaa aisee..!!
Kumbe na wewe ni wa Mlandizi siyo? Kwetu hapo kwa aina fulani... Mitaa ya NERO na kule chini kwa Wa-Italiano....
Naona YENU BAR kwambaliii, pana mamsosi ya ukweli.
naam!panaonekana pazuri!!Is this yubungo or i am dreamin?
Kaka Mlandizi tena..kumbe wewe wanyumbani kabisaa aisee..!!