Gogo la choo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 708
- 293
Duuhh..kaka mi nimepiga kilangalanga pale wakati huo inaanzishwa..tulikuwa tunaishi mashine ya maji..nlikuwa na mwanangu walikuwa na mabucha yao..anaitwa Pimia..daahh!!kitambo sn aisee..!!Unakaa pande zipi pale? Tena mimi nimebukua Ruvu Sekondari pale wakati ule ikiwa ni ya mchanganyiko. Mitaa ya Mlandizi naijua vyema sana:upande wa Kilangalanga na ule wa Mlandizi bondeni hadi Ruvu JKT