Bongo Hip Hop, MC mkali wa kizazi hiki ni dizasta vina

Mshkase noma sana kwenye uandishi
Alishaniandikiaga ngoma kali kibao
Nyumba ndogo
Hatia
Kanisa
Siku mbaya
Hatia 2
Hata mm namvisha crown
Siku nikifa
Konda
Baunsa
Sister
Mi ndo
Kikaoni
Nobody is safe 1-3
 
Wasalaam, mimi ni mfuasi wa Hip hop(Underground) na leo natumia haki yangu kikatiba kumtaja Msanii bora wa mziki huu kwa sasa hapa Tanzania.

Dizasta.....Kutoka kundi la Panorama,kwa sasa anafaa kuvishwa crown na kuitwa Underground King. Alikuwa member wa Tamaduni music na anauenzi utamaduni wa Hip hop to the fullest.

Msomi asiyejigamba na elimu yake. Hana shobo za kibwege ila jamaa ni bonge moja la mwandishi.

Nimemfatilia kwa muda mrefu na nimesikiliza karibu ngoma zake zote. A man is superb. Ana tungo za hatari na nadhani alifaulu vema somo la Fasihi.

Raia hawamzingatii bado ila Kijana ni halfman half-rap machine . I'm sorry Unju bin upupu, crown namvisha Dizasta.

Naandika hii thread nikiisikiliza Nobody is safe 3 iliyotoka jana, unyama mwingi humu ndani. Marapa wenu wamechanwa vibaya mno

Mnisamehe wakongwe, Dizasta ni Kilanja Mkuu wa hiki kizazi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Asante
Vizazi vinabadilika. Kwa sasa dizasta yuko vzuri ila haisababishi tum under-rate mtu kama Nikki Mbishi kwasbb ame wa inspire ma Rapper weng sana wa sasa
 
Vizazi vinabadilika. Kwa sasa dizasta yuko vzuri ila haisababishi tum under-rate mtu kama Nikki Mbishi kwasbb ame wa inspire ma Rapper weng sana wa sasa
Nikki mbishi atabaki kua rapper bora kuwahi kutokea Tanzania...
Playboy
Friday
Sauti ya jogoo
Pesa kwanza
I'm sorry j.k
Maji ni uhai
Kill your self
Da ile style yake ya kurap n balaa mpangilio wa vina ni shida...

Scorpio amegeuka ghost face mwema
Alieota rais atakufa anaitwa godbless lema
 
Kuna nyngne inaitwa PATA RAHA yuko na BenPol
 
Back
Top Bottom