Life is parallel to hellIla kipaji changu si kicheche tunacho shea, hata nkifa leo pengo langu alina spea....
R.I.P..... Mangwea..
Kumbe jamaa kapiga Mzumbe(MU). Mbeya au MoroHaha.. sema alikuja kubadilisha career sijui maana alienda kusoma kitu kingine mzumbe.