Jamani Wabongo wenzangu, ni aibu mvua ya nusu saa maji kujaa barabarani posta mpya, posta baharini mita 100 tu kutoka baharini. kila mwaka tunashuhudia tatizo hili but no action. hivi hawa watawala wanafanya kazi gani? JIJI linatia aibu kwa kila kitu, foleni barabarani, takataka kila kona, mvua ikinyesha aibu tupu, jamani viongazi acheni uswahili, wahandisi tumiaeni taaluma zenu basi. mnashindwa kuchimba mtalo mkubwaundergraound? kuelekea baharini kuanzia labda somewhere? WALE WACHINA WALIKUJA KUFANYA NINI MIAKA 2-ILIYOPITA? juzi ilikuwa aibu ya mwaka pale akiba, sinza ndiyo usiseme. jamani aibu hii ni kichefuchefu. DR's Magufuli na Mwakyembe watuondolee aibu hii.
Alafu ukiwaita majina yao ya kawaida bila kuanza na Engineer someone wanamind kweli. Hakuna wanachokifanya majengo yao chini ya kiwango, barabara mitaro hata mtoto mdogo wa miaka 3 hazami, umeme mgao kila mwaka.
Kwanza sio kila mhandisi anajenga mitaro ya barabara..
Pili, last time I checked hiyo mitaro ya Posta kule mliwapa tenda Wachina kwa sababu mna kihoro cha kuabudu wageni, ninyi na serikali yenu dhaifu ya wasanii.
Tatu, mhandisi wa mitaro/barbara sio manake wewe unahodhi funds, ujuzi,vifaa na muda..unaeza kuwa na ujuzi lakini huna hivo vingine, na hiyo haikufanyi usiwe mhandisi..na haikufanyi iwe responsible na kila mradi chini ya jua..so hivyo vitu vina taratibu zake..usidandie gari kwa mbele.
kwanza sio kila mhandisi anajenga mitaro ya barabara..
Pili, last time i checked hiyo mitaro ya posta kule mliwapa tenda wachina kwa sababu mna kihoro cha kuabudu wageni, ninyi na serikali yenu dhaifu ya wasanii.
Tatu, mhandisi wa mitaro/barbara sio manake wewe unahodhi funds, ujuzi,vifaa na muda..unaeza kuwa na ujuzi lakini huna hivo vingine, na hiyo haikufanyi usiwe mhandisi..na haikufanyi iwe responsible na kila mradi chini ya jua..so hivyo vitu vina taratibu zake..usidandie gari kwa mbele.
jamani wabongo wenzangu, ni aibu mvua ya nusu saa maji kujaa barabarani posta mpya, posta baharini mita 100 tu kutoka baharini. Kila mwaka tunashuhudia tatizo hili but no action. Hivi hawa watawala wanafanya kazi gani? Jiji linatia aibu kwa kila kitu, foleni barabarani, takataka kila kona, mvua ikinyesha aibu tupu, jamani viongazi acheni uswahili, wahandisi tumiaeni taaluma zenu basi. Mnashindwa kuchimba mtalo mkubwaundergraound? Kuelekea baharini kuanzia labda somewhere? Wale wachina walikuja kufanya nini miaka 2-iliyopita? Juzi ilikuwa aibu ya mwaka pale akiba, sinza ndiyo usiseme. Jamani aibu hii ni kichefuchefu. Dr's magufuli na mwakyembe watuondolee aibu hii.
Na serikali yote inaongozwa na hao penye redJamani Wabongo wenzangu, ni aibu mvua ya nusu saa maji kujaa barabarani posta mpya, posta baharini mita 100 tu kutoka baharini. kila mwaka tunashuhudia tatizo hili but no action. hivi hawa watawala wanafanya kazi gani? JIJI linatia aibu kwa kila kitu, foleni barabarani, takataka kila kona, mvua ikinyesha aibu tupu, jamani viongazi acheni uswahili, wahandisi tumiaeni taaluma zenu basi. mnashindwa kuchimba mtalo mkubwaundergraound? kuelekea baharini kuanzia labda somewhere? WALE WACHINA WALIKUJA KUFANYA NINI MIAKA 2-ILIYOPITA? juzi ilikuwa aibu ya mwaka pale akiba, sinza ndiyo usiseme. jamani aibu hii ni kichefuchefu. DR's Magufuli na Mwakyembe watuondolee aibu hii.
Suala si kwamba barabara zimejengwa lini maana hata kama zimejengwa kitambo hawa waandisi wamefanya maboresho yapi? Pili ni kweli kwamba si kila mhandisi anajenga mitaro ila wahandisi wako chini ya ERB kazi ya bodi hii ni kuwawajibisha waandisi wanaofanya uzembe na kazi chini ya kiwango. Ni nani aliyewajibishwa kwa hilo.? Ndo maana twasema samaki wote wameoza. Maana kama wazalendo wangefanya jitihada za makusudi kuokoa jahazi.labda nikuulize swali ni nani aliyejenga barabara za posta maana kama kujengwa zimejengwa muda mrefu sana halafu kwani kila mhandisi anajenga mitaro ya barabara?