Bongo hakuna magari ya kuzowa taka taka niyalete haya magari huko dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo hakuna magari ya kuzowa taka taka niyalete haya magari huko dar?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Apr 28, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Ningelikuwa mimi ni Meya wa jıjı la Dar wallahi haya magari yangelikuwepo hapo Dares-Salaam.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mzaramu wa kitunda kwenda ulaya imekuwa nongwa
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mkuu@Narubongo Hahahah sema Mangi? mimi ni mzaramo wa Bwagamoyo bwana Mzaramo kapanda ndege wacha !!!! Mzaramo anataka Maendeleo SiSiEmu haitaki Maendeleo bwana wacha weee
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Hamna gereji bubu inaweza kuyatengeneza yakiharibika
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  maendeleo hayapatikani mlingotini na mbegani
   
 7. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Maendeleo yanapatikana Pande Kaole na Kiromo hahaha
   
 8. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hayo magari hata jiji la Arusha yapo mkuu kwnini Dar inashindikana?:yo::nono:
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  @Narubongo huko kuna nuka Uchawi Maendeleo yanapatikana mjini moshi au mjini Dares-Salaam mangi upo?
   
 10. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,340
  Likes Received: 10,446
  Trophy Points: 280
  Mbona Shinyanga vijijini yapo. Njoo uyaone.
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mtoto kutembelea nyumba ya jirani kakuta wanakula pilau au checken wings anarudi kumdai babake mbona hatuli pilau au chichen wings.

  Hata matajiri wenyewe hupishana kipato, matumizi na matanuzi sembuse unalosema.

  Nimeona magari yanayosomba uchafu siku hizi hasa jijini Dar ni ya kiwango kinachokubalika, unalodai we ni kutokana na kutokuwa na upembuzi yakinifu kutofautisha nyumba ya babako na nyumba ya jirani yako ulikotembelea.

  Mitaa ya Vingunguti, Manzese, Shimolaudongo, Gongolamboto, Mbagala, Tegeta na kwingineko magari haya yatapita wapi kusomba taka milangoni mwa nyumba za watu?
   
 12. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kaole ni wavivu sana, kiromo kidogo wanalima maembe na minazi

  pale mlingotini kila nyumba ina mganga wa kienyeji, mbegani ndio kisiki chenyewe
   
 13. lukenza

  lukenza Senior Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani wewe ni wa kwanza kwenye ukoo wenu kufika Ulaya
   
Loading...