Bongo fleva beat - FL STUDIO

Nimbejaribu kutengeneza Bongofleva beat kwa software ya Fruity loops....

Unaweza ukaisikiliza hapo chini na kunipa comment zako...

Safi sana mkuu keep up the good work, nimetembea demo juu ya hiyo beat, check nayo!
 
Attachments

Mixing/Mastering ninaweza kufanya. Kuhusu vocals, sijawahi kumfanyia mtu so siwez sema nipo vizuri au vibaya bt i hv an idea.

unapatikana hapa dar!! nataka unifundishe coz na mimi ninashindwa kumix na mastering ya beat ila kusuka beat nko poa
 
Pole pole mkuu, utafika. By the way napenda sana nijifunze kutumia hiyo FL studio, una manula ayake ama tutorial zake? Ninayo hiyo software.

Mkuu wangu unaweza kuiweka hapa hiyo software ni download??

usijari ndugu nkitoka colege time za mchana ntakuwekea!

Mkuu mbona kwangu imekataa kabisaa??
 
Mkuu wangu unaweza kuiweka hapa hiyo software ni download??

Mkuu mbona kwangu imekataa kabisaa??

Mkuu iyo nimeitengenezea kwenye fl studio version ya 11 kwa hyo ukifungulia chini ya hapo si ajabu ikag0ma!
 
Sasa hii ni safi, ila bado kuipenda base line. Kudos mkuu!

Mkuu, Bassline melody is judgemental.. cha muhimu ni kuhakikisha hutoki nje ya Key/Scale, pia inadepend na aina ya Muziki na Muimbaji mwenyewe.
I've tried to make my own but it can be changed in anyway according to the artist's taste & preferences..

By The Way; Nimeattach flp file, ili kila mwenye cha kuongezea afanye hivyo na mwisho wa siku tupate the most high quality track from JF..!!

Thanks for your appreciation though
 
Nimbejaribu kutengeneza Bongofleva beat kwa software ya Fruity loops....

Unaweza ukaisikiliza hapo chini na kunipa comment zako...
Mkuu magnifico, mimi sidhani kama hiyo beat imekaa kibongofleva ila imekaa kilatino zaidi na isitoshe umei-modify kutoka kwenye wimbo wa el gobernao uliopigwa na ego latino!
 
Mkuu magnifico, mimi sidhani kama hiyo beat imekaa kibongofleva ila imekaa kilatino zaidi na isitoshe umei-modify kutoka kwenye wimbo wa el gobernao uliopigwa na ego latino!

dah inaweza ikawa hivyo ila sikuwaza ka hii beat itafanana na huyo mtu anaemtaja hapo!
 
Mkuu magnifico, mimi sidhani kama hiyo beat imekaa kibongofleva ila imekaa kilatino zaidi na isitoshe umei-modify kutoka kwenye wimbo wa el gobernao uliopigwa na ego latino!

Ingekua si vibaya kama ungeattach na huo wimbo niusikie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…