Bongo Flava ya sasa ni uozo mtupu

Wewe unajulikana ni team moja na kina Pete Butigieg.

Feel free. Naona unajiogopa ogopa.
Kwani hii mada inahusu nini na hilo unalo zungumzia? Yaan nijiogope kwa kipi hasa tena hapa nyuma ya [emoji3491]?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], punguza stress kwanza na unywe maji mengi, then relaaaaaaaaaax. Poleeeeeeh
 
Woooooooooooow ma babeeeeh, kumbe unashka hadi mistari.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Woooooooooooow ma babeeeeh, kumbe unashka hadi mistari.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Lol, hilo song nalikubali sanaa baby, yaan wanaimba kama hawataki vile lakini full vibe,

Na kiuno chako kilivyokua hakina mfupa sasa, hapo ni kugusa halafu nanata,
[emoji7][emoji7][emoji7]
(Tutakuja kufukuzwa kwenye uzi wa watu, wenyewe wanapinga matusi, [emoji2960][emoji1][emoji23])
 
I Concur...
Strongly Agree.
 
Upumbavu mtupu[emoji23][emoji23][emoji23] mziki ulikuwa enzi zetu zile wakati bado mnatengewa miguu mjisaidie
Basi mkae kwa kutulia sasa, kelele za nn? Si muwage buzzy na hiyo miziki yenu, aaah msituchoshe Bhanaa lol
 
Short and clear ukiona unaanza kuchagua mziki wa kusikiliza na kukosoa ujue umri wako umesogea kwa hiyo hizi n Zama za vijana tuwaache nao wafurahie wakat wao

Wakat niga j na 2 proud wanaanza kuimba baba yangu alikuwa mkali sana kwetu akituasa kuwa eti ule n mzki wa wahuni kumbe haukuwa wakat wake wakati wake ulikuwa wa marijan rajabu maquise du zaire na wengineo
 
Wewe ndo unayemla matacle huyu uliyemquote?
 
Leo hii ndo nimesikiliza nyimbo ya harmonize na angella
Kuna sehemu nimesikia
"....anataka twende serengeti zanzibar kilimanjaroooo,
anahamisha pale nilipozoea anataka kuweka kwenye mtaroooo..."πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
But hii nyimbo ni tamu sanaaaaaa 🀭
 
Marekani ni toka zamani..kwahiyo kisa marekani wanafanya hivyo na hapo Bongo waachwe tu,ambapo miziki inapigwa pigwa hovyo kwenye bodaboda na watoto wanasikia mitaani?.
Inasikitisha Sana .. na Kuna watu Wana tetetea kabisa ..hawajali Wala hawashtuki kuona kizazi kinavyo haribika kwa kuwa na maadili mabovu
 
Mziki wa sasa ni matusi tu na nahisi wanaongoza na WCB nyimbo zao karibia zote lzm kuwe na matusi
 
Hawa jamaa wanazingua..mitaani bodaboda na vibanda vya kubani miziki vinapiga hizo nyimbo hovyo na watoto wanazikariri na kuziimba
Yaani imefikia hatua hauwezi kusikiliza mziki na watu unao waheshimu hata kwa bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…