mazizini.....????Tena ukonga mazizini
Ukonga?Karibu na moshi bar ukonga
Mombasa ....Mombasa kabisa kituoni
Unamaanisha mjini Dar -es- Salaam?Hahahahaaaa ya Dsm
Kituo cha polisi?Palepale centa kabisa
Jinsia zote?Tena polisi fitina, polisi majungu, polisi umbea