Bonge ya saa hizi saa nitazipata wapi na kwa bei gani??

Bonge ya saa hizi saa nitazipata wapi na kwa bei gani??

Niliziona Jumia, bei zake nazo nzuri, za design hizo huanzia Tsh, 80,000 - 500,000/=
Mkuu... Hizo za Jumia sijuhi zina qualities Gani... Mimi hii yangu niliagiza from AliExpress.. iligharimu kama elfu 10
1523171090576.jpg
 
Back
Top Bottom