Bonge wa clouds!!!

Aine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,603
488
Kwa kweli kipindi cha Power Breakfast maarufu kama "Bonge" kinafurahisha sana hasa jinsi Bonge anavyomaliza kipindi chake yaani misemo fulani, mfano leo eti kamalizaje "Umaskini kama ni ugonjwa, basi tungekufa wengi" yaani inachekesha sana na kufundisha, hebu tujikumbushe na misemo mingine tunayoikumbuka aliyowahi kurusha Bonge

Nawashukuru sana wote
 
cloudsssssssssssssssssssssssssss fffffffffffffffffmmm..
bonge wa ukweee anaonekana mtoto wa twnnn ktaaaambo ahha anajua chochoro uyo dahh sjui kona gan asiyoijua mjjn apa..
 
Kwa kweli hata mimi leo nilimsikia mtangazaji wa hicho kipindi alipoanza kwa kueleza meengi sana kuhusu Chenji ya Rada.

hakika nikasema kweli watu wako huru kueleza hisia zao dhidi a Serikali.

Nilikipenda sana kipindi hicho cha asubuhi
 
Sidhani kama ana lolote jipya, na hakuna mtu serious anayesikiliza clouds so ukitaka kujua nchi hii ina wajinga wangapi basi angalia idadi ya wasikilizaji wa hiyo redio!
 
Lete msemo hata mmoja basi Rose maana umeazisha topic nyingine kabisa
 
ndege haina honi!!
Nyumba yenye njaa haikaliwi na panya.
Ukipewa lifti usiulize tiket
 
Lete msemo hata mmoja basi Rose maana umeazisha topic nyingine kabisa

ahhaha hahah
..mi mwenzio nasahau mwaya ..bt nasikiliza mara nyng...wor nt once nkikumbuka ntafunguka usijali beb...sawa?
 
Sidhani kama ana lolote jipya, na hakuna mtu serious anayesikiliza clouds so ukitaka kujua nchi hii ina wajinga wangapi basi angalia idadi ya wasikilizaji wa hiyo redio!

..ahh wewe ata km wapo wanaochafua clouds lakin kuna vipind vzuri bwana
..si wote hawajui /wanaoropoka tu

chek kile kipind cha jumamos asubui sjui kaka gan sjui alex sjui nan anatangaza INTERNATIONAL nyuz kwa umakin na uchambuzi yakinifu..km mtu anasoma international relations ukimsikiliza pale japo unaaambulia kdg..yaan ukkitaka kujua dunia inaendaje bas sikiliza ...jumamos asubui samoja mpaka sa 3 ivi......

kuna wachache wanaharibu bt to b honest wanajitaidi

SNA UBIA NA CLOUDS M JUST TRYNG 2B FAIR.....
 
Acha kututusi wewe, kama una bif nao si wewe tu, na si muda wote wanaongea usiyoyapenda, kuwa muungwana kidogo, heshima ni kitu cha bure!!!!!
 
Yaani sikioni kitufe cha thanks wala like, but thanks very much Rose, nadhani ana matatizo binafsi na clouds huyu
 
Acha kututusi wewe, kama una bif nao si wewe tu, na si muda wote wanaongea usiyoyapenda, kuwa muungwana kidogo, heshima ni kitu cha bure!!!!!

mupe mupe uyooooooo...clouds si mbaya yooote
kuna vpnd bomba na watangazaj bomba pia

km wewe mding acha kusikiliza XXL ..na autakwazika ..lakin kumwambia yank mwenye 10-28yrs asisikilize XXL atakushangaa cx weng wao ndo wanapenda swaga zile na muziki ule

kiumwambia mtu mlokole/mkristu asisikilize I SUNDAY jumapili asubui utamkwaza na atakukemea

kumwambia mdada wa saloon/b mdogo pale home/mdada asisikilze LEO TENA ahh atakuona unamchawia

kumwambia dereva tax asisikilize JAHAZ ahh atakuongezea nauli..from buku 3 to buku 8

kumwambia sista duu/brazamen/easy go gal,boy /mtu asiye na maadili na anayependa kusilkiliza wapuuzi wakichambua mahusiano wakat wao ata awana uhusiano unaodumu mwez mmoja leo uyu kesho yule asimsikilize LOVENESS ahh atakusghangaa coz ndo anapenda

ukimwambia mtu anayependa diplomasia n global news asisikilize KURUNZ jumamos asubui anaweza kuku sue..

na kumwambia mtu mkaka/mdada mwenye machungu na nchi yao asisikilize breakfast ..ahh atakushangaa..thou sometimes wanakuwa km makada wa chama flan ivi...apo tu wanakera na yule mdor wao mwenhye kiswanglish
 
Ni redio nzuri, kuna siku nilisikiliza redio clauds, more than 3 weeks passed, taarifa ya habari ya jioni wakasema tz inapeleka mabinti 40 huko kwa mfalme wa botswana kwa ajili ya ile ngoma yao ya kitamaduni, naomba mwenye hizi data aziweke jamvini ili wakuu wazichangie, (kama nimejieleza vibaya sorry, lugha ni ngumu sana)
 
Kwa kweli hata mimi leo nilimsikia mtangazaji wa hicho kipindi alipoanza kwa kueleza meengi sana kuhusu Chenji ya Rada.

hakika nikasema kweli watu wako huru kueleza hisia zao dhidi a Serikali.

Nilikipenda sana kipindi hicho cha asubuhi

kwakweli kuna wakati wanakuwa makini sana especially asubuhi, driving to work though i dig baby Kabae 102.4 choice fm...nadhani ni mtoto wa clouds huyo, leo nimesoma dailynews Chenge kashasafishwa ! 'Chenge cleared of radar scam' is this the reason why he isnt getting his letter yet ? sorry a bit off topic..but seriously...
 
Sidhani kama ana lolote jipya, na hakuna mtu serious anayesikiliza clouds so ukitaka kujua nchi hii ina wajinga wangapi basi angalia idadi ya wasikilizaji wa hiyo redio!

Hizi ni dariri za kuwa na chuki binafsi na bonge pamoja na clouds fm!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom