Bonge moja la dili...

biashara ya wasomali sifanyi.....kama ni wahabeshi.... sawa.....
 
biashara ya wasomali sifanyi.....kama ni wahabeshi.... sawa.....

Kweli mmama, wasomali wana roho ngumu, chezea kufungiwa kwenye kontena wewe?
 
Usije ukageukwa wewe, ohoooo.....

Yule aliyepewa kichapo na wachoma sindano pale Muhimbili wala asikupe hofu, kwanza si mwenzetu.
Sie tuko ngangari vya kutosha, ukiniona mimi ujue backstage kuna kina Abeid kama mia ivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…