scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 460
- 360
Kama mimi nageuza narudi nilikotokaMim huwa najibu shukia dirishan kama gari haina milango....
Ha ha ha ha sasa kwan watu wanashukia wap kama sio mlangoni?
SawaHa ha ha ha sasa kwan watu wanashukia wap kama sio mlangoni?
Msosi tenahapo ufwatiwa na mdindisho wa haja, chapu chapu room inaanza kupambwa kabati linapangwa chap kwa haraka .... alafu namtajia kituo...
nachili kusubiria CHAKRAA
mara sms ya pili inakuja "sorry babe hiyo sio sms yako""Baby ndio nakuja nishukie wapi??"_??Masela tujuzane huwa unakuwa katika hali gani baada ya kupata sms hii kutoka kwa demu wako????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
ee mama .....sasa mrembo si anakuja jamani auu
Naweza ua mtumara sms ya pili inakuja "sorry babe hiyo sio sms yako"
[emoji23][emoji23][emoji23] haiwezi kutokea, akiona amekosea atajibaraguza 'nilikuwa nakutania tu bebi nikurushe roho, kwani umenimiss sana mume wangu'?mara sms ya pili inakuja "sorry babe hiyo sio sms yako"
***** viumbe vya ajabu sana hivi[emoji23][emoji23][emoji23] haiwezi kutokea, akiona amekosea atajibaraguza 'nilikuwa nakutania tu bebi nikurushe roho, kwani umenimiss sana mume wangu'?
Sent using Jamii Forums mobile app
huo ujanja wa kubadili gia angani sio jambo la kawaida linahitaji umahiri, kwangu huo ni uajabu.Ajabu yake nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna cha ajabu hapohuo ujanja wa kubadili gia angani sio jambo la kawaida linahitaji umahiri, kwangu huo ni uajabu.
Mlangoni ni kupitia siyo kushukia mkuu BonnyMim huwa najibu shukia dirishan kama gari haina milango....