Bonge la hoteli

Hoteli ya Prof. Maji Marefu Hii iko Koogwe, hapo pembeni ndio kliniki ya tiba
 
Mtaa wa Twiga Jangwani....kwa mabingwa wa kabumbu east and central africa wana kuala lumpar malaysia
 
hiyo hoteli iko kwa kwa Zuma,Joburg kuna kitongoji kinaitwa ALEXANDAL,ni hatari mno kwa hapa kwetu hakina mfano wake.
 
Mbona ina rangi ya chama pendwa? au ni mradi mmojawapo kama ule wa ARV?
 
Ina rangi ya chama chetu rangi ya maisha bora kwa kila mtanzania
 
Na kushoto kuna banda la kuku naon wavu jamani,its true bonge la hotel.
 
aiseee babaangu napananisha na pale jengo la uvccm pale mitaaa ya bahresa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…