Bonge la hoteli

makubwa, hoteliiiiiiiiiiiiiiii na hiyo picha ya dada yupu uchi ndio nini? kwanza imejegwa na tofali kweli? vijana wa dot.com walivyo na fujo si washuka nalo hili jengo.
 
Hii hotel ukimpia hapo mtu mimba lazima atamzaa mtoto atakayekuja kukojolea kile kitabu chetu.
 
Reactions: awp
makubwa, hoteliiiiiiiiiiiiiiii na hiyo picha ya dada yupu uchi ndio nini? kwanza imejegwa na tofali kweli? vijana wa dot.com walivyo na fujo si washuka nalo hili jengo.
Hiyo picha ya huyo dada akiwa uchi inaonyesha baadhi ya service zitolewazo hapo,yaani kuna akina dada poa pale.
 
Atleast inko juu ya Metal frame. "Great Engineering".:becky:
 
Hotel jengo inaweza isivutie sana machoni, lakini yaelekea huduma zake ni muruaa nikizingatia bango lao!
 
makubwa, hoteliiiiiiiiiiiiiiii na hiyo picha ya dada yupu uchi ndio nini? kwanza imejegwa na tofali kweli? vijana wa dot.com walivyo na fujo si washuka nalo hili jengo.

Umenifurahisha sana mkuu hapo kwenye red
 
Reactions: awp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…