man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 463
- 319
Dharau kwenye lipi?Kumtokea,miaka 29 au kuonesha moyo wa kukupenda?
kwanza rekebisha huku ili story iwe na uhalisia japo kidogo...habari zenu wana forum natumaini mpo sawa na mnaendelea vizuri katika shughuri zenu za kila siku
miaka 10 iliopita nilimtokea dada mmoja nikiwa bado janki tukashindwa kuelewana nikachora zangu nikibaki kujilaumu nimemkosa mtoto mbichi...juzi kati natoka katika harakati zangu nikakutana n na huyu binti ila kwa sasa amekua mtu mzima kama miaka 29 hivi baada ya kubadilishana number story kadhaa akaonyesha moyo wa kunipenda...
SWALI: kweli hii sio dharau kweli????????????
nimetokea kuwa na urafiki n kijana wa secondary hapa mtaani kwetu kutokana na dogo kupenda kuwa na mimi kwa kudai kazi ninayo fanya anaipenda na hapo mbeleni angependa kuwa kama mimi kiukweli nampenda sana huyu dogo sababu ananidhamu nzuri kwa ujumla nilimpa zawadi y laptop nikampa pia pikipik yangu kama zawadi pesa ya matumiz nampa pia kama mdogo wangu...JUZI NIMEPOKEA SMS YA MAMA YAKE N HUYU DOGO HAKITAKA TUWE WAPENZI sasa kweli jamani ntawezaje kutoka n mama kama huyu inamaana hajamwona mtu mwingine zaidi yangu mbona wapo wengi tuu..jamaa yake akijua si itakua aibu itaonekana natumia mgongo wa dogo kumpata mama yake wakati sio kabisa....
NAOMBENI USHAURI WAKUU NIEPUKE VIPI ILI SUALA AU NIVUNJE URAFIKI NA HAKA KADOGO??????
kwanza rekebisha huku ili story iwe na uhalisia japo kidogo...
Date of Birth:August 8, 1992 (22)
kwanza rekebisha huku ili story iwe na uhalisia japo kidogo...
Date of Birth:August 8, 1992 (22)
huyu dogo naye vipi...ulimwacha..?
SWALI: kweli hii sio dharau kweli????????????
kumbe kamtu kenyewe kadunchu af kanaleta chai tu hapa...
KAZI: (uoga + ujanki) + (kuringa kwa binti) -(kujilaumu) ÷ (umri wake) × (kukuzimia ghafla)
JIBU: DHARAU
kwanza rekebisha huku ili story iwe na uhalisia japo kidogo...
Date of Birth:August 8, 1992 (22)
huyu dogo naye vipi...ulimwacha..?