BONGE LA DEMU.... Anatafuta Mchumba jamani.....!

Gwangambo

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
3,638
1,207
Gharama zote kwake.... KARIBUNI wajameni
kibwengo.jpg
cc. mshana jr.
 
duh!! kwa wale wapiga mitungi wachotaji wa mademu usiku club inakua vipi unaamka asubuhi unakuta huo mzigo umelala pembeni yako uliuchota night ukiwa stimu kali sana...
 
duh!! kwa wale wapiga mitungi wachotaji wa mademu usiku club inakua vipi unaamka asubuhi unakuta huo mzigo umelala pembeni yako uliuchota night ukiwa stimu kali sana...

yaani hapa mtu kama ni mshirikana atakimbilia kwa mganga kama ni mcha Mungu kanisani au msikitini
 
Back
Top Bottom