Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo(23) amchakaza mzungu

Fahari ya vijana ni nguvu zao wenyewe. Kongole Mwakinyo. Mungu azidi kukubariki ili hatimaye uwe kama Mohamed A., Joe F.,Evender H.,Mike T.,Douglas B.
 
Waengereza walitegemea ushindi kwa Sam kwa sababu ni Shujaa euro zone na UK na ni mtu wa nne duniani best boxer, lakini kakutana na Mike tyson wa Bongo mtu a napiga ukuta mazoezi yake.

Huyo sam ni biscuit tu, kipigo cha mbwa koko
 
Kipigo alichopata ni zaidi ya KO. Refa asingeweza kuacha kwani jamaa alishapigwa bumbuazi...hawezi kukwepa ngumi wala hawezi kurusha ngumi. Ingewezakumletea madhara makubwa.

Kuna mtangazaji wa sky akasema, jamaa alivyokuwa anapokea makonde, badili ya kublock akawa anashangaa.. "is this happening??"

In fact sam alitarajia ushindi wa kibwerere.... na kitu kinachofanya Mwakinyo apate sifa ni kuitwa ndani ya wiki moja tu.
 
Namuonea huruma akishuka JKN tu anapokelewa na Madam Wema au Jakline Wolper kwisha kazi Rajuu
 
Nimeskia fununu et anaomba pambano na mayweather nilichekaa yani umejifunza piki pik asubuh jioni uanze kubeba abilis)
 
Kwa wale ambao wana access na Sky Sports ya UK ingia Sky sports Arena kuna pambano la Hassan Mwakiyo leo 03.09.2022

1662232346834.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom